Airwaves inakuwezesha ku-shop bidhaa za kampuni tofauti kwa urahisi, ku-order kwa chupa au crate, kufanya multi-order, na kufuatilia orders zako zote sehemu moja.
Chagua kampuni, angalia bidhaa zao, halafu order kwa bottle au crate kulingana na hitaji la duka lako.
Airwaves inaunganisha shopping ya customer na management tools za kampuni kwenye mfumo mmoja.
Mteja ana-order bidhaa kwa bottle moja moja au crate nzima, na mfumo unahesabu quantity sahihi kwenye stock.
Mteja anaweza kuweka bidhaa nyingi kwa kampuni tofauti ndani ya cart, na ku-reorder order za zamani kwa click moja.
Order inaenda kwa agent wa karibu kama yupo; kama hayupo inaenda kwa manager ambaye ana-assign agent au route manually.
Customer hujaza survey ya matumizi, kisha mfumo hutuma alerts na email kwa manager/agent order ikikaribia kuisha.
Kuanzia usajili wa kampuni hadi delivery ya order kwa customer.
Kampuni inajisajili website, inawekwa pending, kisha admin mkuu ana-approve.
Manager ana-set bidhaa, bei za bottle/crate, stock, agents, na rules za order handling.
Mteja anaangalia bidhaa homepage/shop, anaweka multi-order, na ana-checkout kwa taarifa zake.
Order ina-assigniwa agent wa karibu au manager, na mfumo unatoa prediction alerts za restock kwa customer.
Faida kwa mteja wa duka na kwa kampuni inayo-manage bidhaa na orders.
Customer anaona bidhaa, bei, na ku-order moja kwa moja bila kupiga simu nyingi za kufuatilia order.
Manager na agent wanaona orders mapema, assignment inakuwa smart kwa location, na service inaenda kwa kasi.
Kwa survey na prediction, kampuni inajua demand mapema na kupanga stock na route kabla order haijaisha.
Fungua account ya kampuni yako ili uweke bidhaa, bei, stock, agents, routes, na kusimamia orders zote kutoka kwa wateja wa website.
Anza kama customer wa ku-shop bidhaa online au sajili kampuni yako na usimamie ecommerce operations zako ndani ya Airwaves.